FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Wakati macho na masikio yote Afrika leo yakielekezwa Afcon, kuna makubwa jinga yanawaza kombe mbuzi la Mapinduzi!

Tukiwaita mbumbumbu wanakasirika…
Wakati wewe na ujuha wako ukiwaza bonanza la AFCON kama big deal, kuna wale wako kwenye Emirate wanaenda Uingireza kuicheki NEW CASTLE vs MAN CITY. Usijione mjanja kwenye maisha kuna waliokuzidi tuuuu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wakati wewe na ujuha wako ukiwaza bonanza la AFCON kama big deal, kuna wale wako kwenye Emirate wanaenda Uingireza kuicheki NEW CASTLE vs MAN CITY. Usijione mjanja kwenye maisha kuna waliokuzidi tuuuu
Mbumbumbu hukuona nimeongelea Afrika pekee? Ningesema dunia ndio ungeleta hayo mambo ya Newcastle na Man City.
 
Mimi YANGA damu ila simba wakiona kombe lolote hawaliachi nikikumbuka tanga nalia Sana hakika Simba ni timu ya makombe onana anaenda kubeba kombe la pili afu zwazwa na Yao Yao hawana hata kombe la uji Simba mmeshindikana 🔥🔥🔥🔥
Daima mbele nyuma mwiko forever
 
Back
Top Bottom