FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Wamama viti maalum faina leo🤣🤣🤣

Dadazii viti maalum kutoka zanzibar- mlandege fc vs Simba ambao ni dadazi viti maalum kutoka Tz Bata.🤣🤣🤣
 
Wakati macho na masikio yote Afrika leo yakielekezwa Afcon, kuna makubwa jinga yanawaza kombe mbuzi la Mapinduzi!

Tukiwaita mbumbumbu wanakasirika…
[emoji23][emoji23][emoji23] dada punguza hasira, mbna uhuru ni wako kuangalia AFCON au MAPINDUZI.

Kwann utesekeee? Woiiiiih
 
Mbumbumbu hukuona nimeongelea Afrika pekee? Ningesema dunia ndio ungeleta hayo mambo ya Newcastle na Man City.
Lucy Eyamel hakukosea nyie Nyani na Masokwe mnapiga makelele kutwa kucha maaana hamjafikia hadhi ya kuwa binadamu kamili hamnazo kichwani.
 
Usisahau j3 una test[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeshavuka huko kitamboooo.
Hadi Picha za Joho zishatanda ukungu.

Wee hangaika na quiz, test, na ujipange UE very soon.
Poleee wee.
 
Wamama viti maalum faina leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dadazii viti maalum kutoka zanzibar- mlandege fc vs Simba ambao ni dadazi viti maalum kutoka Tz Bata.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga hata viti maalumu sifa hakua nayoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njoo Uone Tofauti ya Sisi na Wao….

Njoo Nikupe Tofauti ya Kuni na Mbao…
 
Samahani naomba kuuliza HD maana yake nini?
1704719087045.jpg
 
Samahani naomba kuuliza HD maana yake nini?View attachment 2870360
High-definition television
High-definition television (HDTV) is an all-digital system for transmitting a TV signal with far greater resolution than the analog standards (PAL, NTSC, and SECAM). A high-definition television set can display several resolutions, (up to two million pixels versus a common television set's 360,000)

Mjomba Google kanijibu hivyo.
 
He's tripping
 
Back
Top Bottom