OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
anha sawaKwenye hii michuano sisi ni giant... Kila tunayecheza nae ni underdog....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anha sawaKwenye hii michuano sisi ni giant... Kila tunayecheza nae ni underdog....
Bora kuangalia Mpali kuliko wacheza fainali ya mchongo
Kemea pepo
😂 Nakuombea neema ya utakaso wa kupata amani.Mbeleko football league
Unatafuta nini kwa huu uzi ilihali unajua kuna uzi wa afukon😁😁Wakati macho na masikio yote Afrika leo yakielekezwa Afcon, kuna makubwa jinga yanawaza kombe mbuzi la Mapinduzi!
Tukiwaita mbumbumbu wanakasirika…
Wewe ni Yanga?Bora kuangalia Mpali kuliko wacheza fainali ya mchongo
Muda huo bora niwe bed na wife tu
Tuangalie AFCON mkuuMuda huo bora niwe bed na wife tu
Yule jamaa Mlandege anaekulaga sana vitoga na Ndege wengine wazuri isipokua popo na bundi leo kaambiwa amle Simba, itakuaje? Atamla Simba au atakomaa na kuendelea kula Ndege?Nilichosema…
Yaan hizi zote zimekutana huku figisu na huku figisu yule refa wa Simba angekua anachezesha kule Shybush angeambiwa tu "refa mpira ukiisha tunakusubiri tunaondoka na wewe"Jinsi timu zilivyo fika final ndio CCM wanavyo shinda uchaguzi
Hata AFCON ni kombe la kimama sana!Wakati macho na masikio yote Afrika leo yakielekezwa Afcon, kuna makubwa jinga yanawaza kombe mbuzi la Mapinduzi!
Tukiwaita mbumbumbu wanakasirika…
Gemu SAA NGAPI kwani?Mbeleko A vs mbeleko B
Samahani mkuu kwani ni kuangalia gemu muda wa Sabato ni dhambi? Au Kuna lingine usikute wenzetu mnaishi mbingu duniani!Muda WA game ni saa ngapi? Hope Sabbath itakua imeisha