FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Yaani wachezaji wa simba wanacheza kama hawalipwi vile, utumbo mtupu.
 
Ila wachezaji wa Simba sijui Wana akili gani. Hawabadiliki. Nilidhani wangekuja na approach tofauti na ile mechi ya Singida ila ndio hivyo, hawabadiliki. Inabidi Benchika aondoke awaache. Watamdhalilisha tu.
Kwani wachezaji ndio wanaokuja na approach tofauti au kocha ndio huwa anakuja na approach tofauti?
 
Onana ni forward au back? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona had yeye anajaribu kutaka kufunga huko mbelee, je ikitokea counter attack? Woiiiiih
Kuna watu wanavurugwa vibaya mno wakifungwa. Soma ulichoandika
 
Back
Top Bottom