Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Kwa hio leo Mlandege kawala? 🤣Mpira ni mchezo wa wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio leo Mlandege kawala? 🤣Mpira ni mchezo wa wazi
Sawa my wetuUto watakimbia humu muda si mrefu
Wanaloooo ..Mlandege pigaaa mbwakoko hizoooðŸ¤Refa Leo kawakandia makolo....na pesa yao amekula
Kwani wachezaji ndio wanaokuja na approach tofauti au kocha ndio huwa anakuja na approach tofauti?Ila wachezaji wa Simba sijui Wana akili gani. Hawabadiliki. Nilidhani wangekuja na approach tofauti na ile mechi ya Singida ila ndio hivyo, hawabadiliki. Inabidi Benchika aondoke awaache. Watamdhalilisha tu.
OKW BOBAN SUNZU dakika ya ngapi? Si ulikua unatuandikia dakika 😂Aibuu yaooo 5imba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani Dakika ya Ngapi 🤠?
Hii nai-screenshot kabisa na kuiweka mahali salama maana imekutoka kwa uchungu sana!Simba inachezea jina tu ila timu hakuna
Maji ya shingoONANA, PHIRI, SAIDOO, LUIS , Kila mmojai ana shoot tu, hakuna mwenye mawazo ya kutengeza ..
Plug hazichomi wese kudadekWakuu mbona sielewi?
tumekata moto ama....
Hiko kimoko hakirudi hao madogo wanajua kukamia hao sio Singida, 🤣Huo ujinga unaoendelea huko mbele, sitegemei chochote.
Yaani toka michuano imeanza ni MUNGU tusaidie hakuna plan yeyote ya kupata magoli,kama yanga wangekuwa serious na haya mashindano halafu tukakutana nao fainali tungepata aibu kubwa hakuna mfano!Tunaenda kiMungu Mungu tu.
🤣Plug hazichomi wese kudadek
Kuna watu wanavurugwa vibaya mno wakifungwa. Soma ulichoandikaOnana ni forward au back? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona had yeye anajaribu kutaka kufunga huko mbelee, je ikitokea counter attack? Woiiiiih
Hiko kimoko hakirudi hao madogo wanajua kukamia hao sio Singida, [emoji1787]