Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku keshamaliza tayariHuku bado refa hajamaliza
Imeshindikana🤣🤣🤣🤣Dakika anazo refa na refa hafuati ubao yeye anamaliza muda atakaojisikia kumaliza mpira
95Mpira umeisha dakika ya ngapi huko??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii imeendaaa.Kwa hiyo sasa hivi ndio mnakumbuka kuna Afcon eeeh?
HAUJUI?We zombie [emoji23][emoji23]
Na leo utasingizia umeme ulizima? 😁Mpira umeisha dakika ya ngapi huko??
Ni huzuniSimba timu ya kijinga kweli. Benchika angeachana nayo.
Hatari....simba chali watu wanamchezea tuu hatishi tenaSasa saidoo mwenyewee akiguswaa anajiangusha hovyoo, na kufunga hawezii, anaboaaa sanaaaa.
Aaah