FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nna furaha man city kashinda.
Now niko buzzy kutazama AFCON
Man City anakusaidia nini mjukuu. Kipigo cha mnyama ndo mpango mzima 😁😁😁

Screenshot_20240113_215620_Chrome.jpg
 
Ungetazama mpira baada ya bao kupatikana, kuna kosa alifanyiwa onana ndani ya box, refa aliminya filimbi, had wachezaji wa simba walimfata.

Ila kwa mlandege kidogo tyuuh anapuliza.
Wewe leo wa kuongea hivyo........... umesha ya sahau ya Singida.
 
Wamama viti maalum faina leo🤣🤣🤣

Dadazii viti maalum kutoka zanzibar- mlandege fc vs Simba ambao ni dadazi viti maalum kutoka Tz Bata.🤣🤣🤣
Dada mkubwa amebambiwa kalioz😂😂😂
 
Wewe leo wa kuongea hivyo........... umesha ya sahau ya Singida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman si ndo leo ameamua kulipizaa kuwabonafsishaa wa kwaoo.
Mcheza kwao hutunzwaaa.
 
Back
Top Bottom