FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

9'

Gooooooooaooooaooooaooooooool


Onanaaaa anapachika bao la pili hapa baada ya shuti la Baleke kuzuiliwa na mlinda mlango kisha mpira kumpata Onana
 
Naona kuna battle ya kutafuta hattrick kati ya Onana na Baleke
 
Mkeka wangu niliouweka:

Timu ya kwanza kupata goli: SIMBA
Baleke kufunga goli: NDIYO
Mpira wa Penati: NDIYO

Kwa hiyo bado item moja ya Mpira wa Penati nivute mpunga

 
Ila Simba bado haipigi lile soka ambalo tunataka kuliona
 
Ngapi huko jamani?
 
16'

Simba inapata kona

Nyuma ya mpira ni Chama

Inapigwa cross kipa anatoa na kusababisha kona nyingine

Chama anapiga mpira unaondoshwa kwenye eneo la harari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…