πππInatakiwa awafunge Yanga itapendeza sana.
Brand ya Team tu, hakuna mchezaji humo.Hivi aliemleta doumbia alimwona akicheza mpira kweliππ
π¦π¦π¦π¦π¦π¦Wame,kuwa kama Jeshi la Wokovuπ€£Woyoooooooooooooo!!!!
Sisi kwetu ni shereheeeeeeee!!
Hiyo lini hiyo? Leoooooooooo!!
Kina nani? Sisi haoooooooooo!
π¦
β½β½β½β½β½β½
π₯π₯π₯
Noumaa sana Mahi, π₯π₯π₯π₯π¦π¦π¦π¦π¦π¦Wame,kuwa kama Jeshi la Wokovuπ€£
Huenda Doumbia ndio anazuia mvua ziku akifunga tu balaa linaanza, jumamosi ilianza alafu ikakata leo tena imeanza kidogo ikakata.Dumbia aliemleta Mungu anamuona ukweli tumepigwa lile ni takataka
Huyu jamaa hajawa kipa tu. Ila akiruhusiwa sometimes atakuwa anadaka kipa akitoka langoniKwani huyu Chilambo anacheza namba ngapi? Daah
ππππHuyu jamaa hajawa kipa tu. Ila akiruhusiwa sometimes atakuwa anadaka kipa akitoka langoni
Zaburi 14:1 β βMpumbavu amesema moyoni mwake, Hakuna Mungu...βMtani umejipata hakika. Pira safi magoli ya kutosha