Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mje kwenye huu uzi wa Yanga!. Yani hadi mashabiki wa Yanga mnaususa uzi wa mechi muhimu za Yanga kipindi hiki mwishoni mwa msimu wa ligi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mje kwenye huu uzi wa Yanga!. Yani hadi mashabiki wa Yanga mnaususa uzi wa mechi muhimu za Yanga kipindi hiki mwishoni mwa msimu wa ligi?
Kwani hutaki? Lazima mechi ipigweHizi ndiyo akili za kimbumbumbu alikotaa Rage
Wabahili mpaka bundleYanga njooni bana..msiogope..Kuna kushinda na kushindwa..
Alafu pambano lenyewe watoto washalalaKama kwenye boxing kuna yale mapambano ya wadada hutangulia kunogesha pambano kuu.
Mechi bado nyingi hata FA tunaweza kuonana, mbona hata mpira wenyewe hujui?Kwani hutaki? Lazima mechi ipigwe
Leo wamedai wanatambua mpira ni matokeo ya aina moja ...Wabahili mpaka bundle
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umejua leo kuwa vibendera nao wana maamuzi yao ?Haina haja maana kila mtu anaona mpira, yaani kibendera ananguvu kuliko refa wa kati? Hii ipo tz tu
Ipo Tz tu......[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umejua leo kuwa vibendera nao wana maamuzi yao ?
Pole sanaIpo Tz tu......
Leo wanamfukuza nan88' Namungo 0 - 0 Utopolo
Mpira uishe sasa,manake hata soka lenyewe halionekani nini wanacheza,wanakimbizana tu mabwege hawa.88' Namungo 0 - 0 Utopolo
Wanategemea goli la zali tuMpira uishe sasa,manake hata soka lenyewe halionekani nini wanacheza,wanakimbizana tu mabwege hawa.
Hawa waamuzi mmoja akichomewa nyumba hivi watakuwa na adabu, Shenzi kabisaPole sana
Sema kimeumana88' Namungo 0 - 0 Utopolo
HahahahahaHawa waamuzi mmoja akichomewa nyumba hivi watakuwa na adabu, Shenzi kabisa
Maamuzi sahihi kabsaHawa waamuzi mmoja akichomewa nyumba hivi watakuwa na adabu, Shenzi kabisa