FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa utopolo wanalilia kubebwa bebwa tu mbona hawalalamiki timu zingine zikionewa dhidi yao??

Chezeni mpira vilio feki havitawasaidia
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwa mwenendo huu, Azam anakamata nafasi ya pili muda si mrefu
 
Mwekezaji gan hana dira hana mpango
Sijawahi kusikia malengo ya Muwekezaji Wa yanga zaidi ya kujitapa atavunja bank ooh nitasajili wachezaji kutoka ligi 5 bora African brabra nyingi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom