Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hapa ni kuanzisha vita tu na waamuzi, akizingua na yeye anapewa dawa, shenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie kushinda mpaka mtoe 40mlHapa ni kuanzisha vita tu na waamuzi, akizingua nayeye anapewa dawa,shenzi
Ndiyo dawa yao pumbavu hawa, goli la wazi kabisa......Hansi Mabena anakataa....Hahahahaha
Mkuu umeumia sana naonaHapa ni kuanzisha vita tu na waamuzi, akizingua nayeye anapewa dawa,shenzi
mnapigania nafasi ya ngapiHapa ni kuanzisha vita tu na waamuzi, akizingua nayeye anapewa dawa,shenzi
Hapana,ila ujinga umezidi.....kama ni maelekezo zisi is too muchMkuu umeumia sana naona
Tulia unaishaRefa vipi maliza mpira bana
Nyie mnapigania nafasi na tff, hatuna haja na mpira tenamnapigania nafasi ya ngapi
Mahali wapi na wapi?yanga inahujumiwa kila mahali
Mlikimbia juzi sasa mtakujaNyie mnapigania nafasi na tff, hatuna haja na mpira tena
Acha wahujumu tuyanga inahujumiwa kila mahali
Leo Utopolo wanafukuza mwekezajiLeo wanamfukuza nan
Alikukimbiza wewe na tff yakoMlikimbia juzi sasa mtakuja
Yule sio mwekezaji mpigajii tuLeo Utopolo wanafukuza mwekezaji