FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

FT: Namungo 0-0 Yanga | VPL | Majaliwa Stadium

Uto hivi bado mna zile "ndoto" zenu za ubingwa mnazootaga kila mwaka?

Wenzenu tunawekeza uwanjani nyie mko busy mnaota ndoto!.
 
Sijawahi kusikia malengo ya Muwekezaji Wa yanga zaid ya kujitapa atavunja bank ooh nitasajili wachezaji kutoka ligi 5bora African brabra nyingi
Injinia anajitafutia nafasi gsm wakitoa walivozoba akigombea ata uenyekiti wanampa
 
😂😂😂😂😂😂😂
MASHABIKI%2BYANGA.jpg
 
Mabaya ya Utopolo kuitabiria mabaya mechi ya Simba Vs Kaizer leo, wao wametoa draw na goli lao limekataliwa la wazi kabisa.

Simba ndio timu itakayotoa burudani ya soka peponi kwa mungu baba, kwasisi wachache tutakao uona ufalme wa bwana.
 
Goli la wazi kabisa kashinda linemen kakataa waziwazi, hizo ni hasira fulani au, eti mbona simba ilikuwa hivihivi
 
Yaani yanga ndio imekuwa dhaifu hivi kiaisi Cha kulilia magoli ya offside?
 
Mpira wetu una Mambo mengi ya aibu. Mwishoe utaambiwa mshika kibendera ni binadamu.
 
Back
Top Bottom