FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

Mayele kaisha sana. Asiporudi Kongo kwenda kuchochea dawa sidhani kama ataweza kufunga goli Tena msimu huu
 
Hivi Azam Wana camera moja au? Mbona leo picha zinastack sana, alaf kamera inazungushwa kuufata mpira mpaka inaleta kero.
 
Mabeki wa Yanga mnataka kuwapa mikia Cha kuongea? Huyu Shiza vp?
 
Back
Top Bottom