FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

Hawa jamaa wanakazaga sababu huwaga tunacheza na timu mbili (kunawatu watajishtukia).
 
Namungo badala ya kucheza kwa kuwaheshimu Yanga wanacheza kwa kuwaogopa! Wanacheza huwezi kuamini ni wachezaji wa ligi kuu! Very poor performance! Unfortunately kocha wao mkuu ndio kocha wa Taifa Stars? Shame!
 
𝑭𝑼𝑳𝑳 𝑻𝑰𝑴𝑬

𝒀𝑨𝑵𝑮𝑨 2 ( 𝑩𝑨𝑵𝑮𝑨𝑳𝑨, 𝑲𝒊𝒔𝒊𝒏𝒅𝒂)
𝑵𝑨𝑴𝑼𝑵𝑮𝑶 0
 
Yanga mmeshinda against timu iliyocheza ovyo mno! Leo hatujaona ubora wa Yanga zaidi ya Namungo mbovu!!
𝑷𝒐𝒊𝒏𝒕 𝒏𝒊 𝒛𝒊𝒍𝒆𝒛𝒊𝒍𝒆 3 𝒏𝒐 𝒎𝒂𝒕𝒕𝒆𝒓 𝒖𝒎𝒆𝒄𝒉𝒆𝒛𝒂 𝒗𝒊𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒂𝒖 𝒗𝒊𝒃𝒂𝒚𝒂
 
Back
Top Bottom