utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Yaaani hatari Sana..mpaka hii mechi iishe macho yatakuwa hoi Sana aiseHivi Azam Wana camera moja au? Mbona leo picha zinastack sana, alaf kamera inazungushwa kuufata mpira mpaka inaleta kero.
Ila wa mnyama ukianzishwa mtaruka ruka hadi siku inaishaKujazana kwenye uzi ndio kushida? Siku hizi mmekua kama wamama wa uswahilini mnataka kushindana kila kitu
Azam tv wameszinguaYaaani hatari Sana..mpaka hii mechi iishe macho yatakuwa hoi Sana aise
Yaani duuu!Azam tv wameszingua
Hii ni aibuYaani duuu!
Au sio damu yangu[emoji1787][emoji1787]Kagoli kenyewe kamoja
Gabachori hataki kutoa pesa.Ccm wanapenda michongo ila yanga wazee wa kuchonga hamna michongo
kwanza mudi kawapa b20 zenu..?[emoji849]
Kagoli kamoja ka NguruweKagoli kenyewe kamoja
Sio kwa ubaya!!!Gabachori hataki kutoa pesa.
Burudani Kwa wote ππAzam miyeyusho
Inatuhusu nini sisi?Ila wa mnyama ukianzishwa mtaruka ruka hadi siku inaisha