Waombee walau wapate suluhuKila la kheri kwa watoto wa Majaliwa.
Namungo tupeni raha🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)
View attachment 3165739
Tukutane hapa kwa Updates...
Na iweMoja bila mtu analizwa
Kwa timu Gani? Yanga ilikuwa misimu iliyopita?FT
0-4
Kila msimu, mnaisifia Yanga ya msimu uliopitaKwa timu Gani? Yanga ilikuwa misimu iliyopita?
Kila msimu, mnaisifia Yanga ya msimu uliopita
Mnabisha ila ukweli mnaujua. Vipi tuwaletee malaika mcheze nao?Kila msimu, mnaisifia Yanga ya msimu uliopita