FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Tuliambiwa shabiki WA Yanga wamekomaa baada ya kufungwa mechi na Tabora waliwapitgia makofi wachezaji wao. Leo hii na ukomavu wenu nyie ni WA kufungua Uzi saa 4.22 asubuhi? Ama kweli Alie juu msubiri Tu chini kushuka ni lazima 🤣🤣
 
Namungo pigeni hayo mateja yana arosto baada ya kugutukiwa kujidunga sindano
 
Attachments

  • 1000015612.jpg
    1000015612.jpg
    177.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom