FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Yao nahesabu hii pasi yake ya tano anaipoteza kirahisi tu
 
Yao cross yake ya sita hii inapotea
Nina maana yangu kutaja nyendo zake husuani zenye kuonesha flaws kwasababu huyu alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotajwa kama sababu ya Yanga kupoteza mechi dhidi ya Tabora

Leo yupo na ndio mchezaji anayeongoza kupoteza pasi mpaka sasa.

Hiyo inatupa tafairi kwamba bora venyewe hakuwepo maana kulikuwa na uwezekano wa kupigwa zaidi ya 3 siku hiyo.
 
Back
Top Bottom