Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sio tu counter hadi kwa one two piaAngekuwepo Chikola hapa asingekosa goli 2. Kuna upenyo mkubwa sana wa kupiga counter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tu counter hadi kwa one two piaAngekuwepo Chikola hapa asingekosa goli 2. Kuna upenyo mkubwa sana wa kupiga counter
Habari vipi hapo nyau nyau dakika ya ngapi huko?Endelea kuroga
Kushenyetwa kuko pale paleInaenda dakika ya 20 bila shots kwa namungo! Kwa uchezaji huu kuna aibu kubwa tutapa uarabun, kuja haja ya viongazi kuingilia kati, wachezaji walio off form wasipangwe!
Mnataka kufungwa?Line 1 & 2 wasiwe na haraka za kunyoosha vibendera
Yanga ya ovyo ingekua Tabora sasa hivi Namungo kashachezeaKushenyetwa kuko pale pale
Inabidi waifunge hii na leo muendelezo uwe vizuri wafukuze na huyu kochaNamungo wasije kufikiria kuwa baada ya hapa watapata mechi nyingine rahisi kuliko hii.
Ni vyema wakatumia nafasi vizuri
Tunataka kufunga 😀😀😀Mnataka kufungwa?
Mtafungwa leo ili muendelezo wa kufukuza kocha uendeleeTunataka kufunga 😀😀😀
Kabisa si chini ya goli 2Yanga ya ovyo ingekua Tabora sasa hivi Namungo kashachezea
.... wa kwenye mazoezi.Leo mtajua haya mambo mawili
1. Khomeiny ni bonge la goalkeeper
2. Musonda ni bonge la striker!
Na haiwezekani yeye na Pacome wanacheza kifaza sanaSiku ambayo Aziz Ki hatapangwa kabisa wala kukaa nenchi ndiyo siku tutaanza kushinda.
Namungo wafunge na leo watu walambe ndimuNamna gani hapa namungo