FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Fallacy kwamba Yanga tunakamiwa ni ngumu kuiamini... Eti kwamba Simba inalegezwA ktk games ni ngumu pia...

Tunahitaji Washambuliaji wa Yanga wamenyeke humo ndani...
 
Shuti la Azizi Ki lililogonga mwamba
Your browser is not able to display this video.
 
Eeh Mungu ijaalie Yanga ifungwe na leo, ni wao ndo walisema hata wakicheza na malaika wako eti watawafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…