FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Timu tunayo na tunatamba nayo. Huwa wanakimbilia kuanzisha madomokaya nyinyi wenyewe. Bora mmeichoka, mmetuachia timu yetu. Tutaanzisha lisaa limoja, kabla ya mechi kuanza au dakika chache kuanza. Huu ndiyo utaratibu.

#yangabingwa
#since1935
🟢🟡🟢🟡
 
Watu huwa wanaanzisha uzi wa mechi siku moja kabla ila toka YAS (Yanga Atafungwa Saaaana) ianze rasmi kwa vipigo vitatu mfululizo, leo kumekuwa na kigugumizi katika kuanzisha uzi wakati yamebaki masaa machache mechi ianze.

Vyura mmesusia timu yenu? Tunaomba msijidhuru tu maana vipigo vinaendelea kama kawaida.

Binafsi nadhani mnaenda kufungwa mechi 6 mfululizo ndiyo kuna katimu mtakaotea baada ya hapo.
Ngoja aje kibaka mmoja atoe ahadi zake za kijinga.
 
Timu tunayo na tunatamba nayo. Huwa wanakimbilia kuanzisha madomokaya nyinyi wenyewe. Bora mmeichoka,mmetuachia timu yetu. Tutaanzisha lisaa limoja, kabla ya mechi kuanza au dakika chache kuanza. Huu ndiyo utaratibu.

#yangabingwa
#since1935
🟢🟡🟢🟡
Umeandika kwa uchungu sana.Mola awarehemu vyura wote.Aimeeen 🙏
NB;Hivi,jina utopolo au chura,ni nani hilo jina aliwapatia kiroho safi?Kwa kweli naapa mbele ya Mungu,linawapendeza sana.Alhamdulillah!
 
Screenshot_20241130-103651_Chrome.jpg

Wameshapost kumbe,unazidiana na huu wako kwa dk 2 wao walianza
 
Back
Top Bottom