FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Sijawahi pewa Ban, haitatokea nafata sheria zote za JF. Hii atakayenipa aandae na Mwanasheria wee waponze mods tu. Wapi JF imeandikwa, ukisema upewe Ban mods wakupe? Zaidi tunashinda, byebye watoto wa paka. Acha nikaianze weekend.

#yangabingwa
#since1935
๐ŸŸก๐ŸŸข๐ŸŸก๐ŸŸข
Tatizo kamdomoo ๐Ÿคซ
 
Attachments

  • 963e37bafb7a4aada0c8de31b897132a.mp4
    642.9 KB
Timu tunayo na tunatamba nayo. Huwa wanakimbilia kuanzisha madomokaya nyinyi wenyewe. Bora mmeichoka, mmetuachia timu yetu. Tutaanzisha lisaa limoja, kabla ya mechi kuanza au dakika chache kuanza. Huu ndiyo utaratibu.

#yangabingwa
#since1935
๐ŸŸข๐ŸŸก๐ŸŸข๐ŸŸก
Na kweli wao ndio huwa wana visebu sebu vya kuanzisha nyuzi za yanga.
 
Sijawahi pewa Ban, haitatokea nafata sheria zote za JF. Hii atakayenipa aandae na Mwanasheria wee waponze mods tu. Wapi JF imeandikwa, ukisema upewe Ban mods wakupe? Zaidi tunashinda, byebye watoto wa paka. Acha nikaianze weekend.

#yangabingwa
#since1935
๐ŸŸก๐ŸŸข๐ŸŸก๐ŸŸข
Ukiomba ban unapewa maana mods wanakuwa wanakidhi hitaji lako.
 
Timu tunayo na tunatamba nayo. Huwa wanakimbilia kuanzisha madomokaya nyinyi wenyewe. Bora mmeichoka, mmetuachia timu yetu. Tutaanzisha lisaa limoja, kabla ya mechi kuanza au dakika chache kuanza. Huu ndiyo utaratibu.

#yangabingwa
#since1935
๐ŸŸข๐ŸŸก๐ŸŸข๐ŸŸก
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kumbe
 
Back
Top Bottom