FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

20241130_111539.jpg
 
Alifikiri jina Bongo Daresalam ni sawa na Omar Bongo?Atalijua jiji!

Eti ananiuliza ni hamisha mabuti au hamisha mabeki

nikamwambia nitahamisha mabeto na manyundo!!

Dube ni mwimbaji bora wa mziki wa lege. Sio mcheza mpira. Labda mpira uliotumika kwa mobeto na aziza kuwafungia magoli kwenye uwanja wenye maji ya gsm na utamu wa asali ya tabora.
 
Leo yanga atashinda hata vitatu tuwe waungwana wakuu🤣
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)

Tukutane hapa kwa Updates...
Wapigwe tu hao 🐸🐸
 
Back
Top Bottom