FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Wananchi tumejitafuta na tumejipata, leo kazi inaanza, kocha Ramo ameona shida yetu ni fitness na stamina ya wachezaji wetu kushindwa kucheza dkk 90, basi baada ya kumaliza gym tu mbio za beach za masaa mawili kwa siku mwezi mzima ziwahusu wachezaji wote hata wasio first eleven!!

Kukosa fitness na stamina pia ni tatizo la wachezaji wa taifa stars, maana huwa tunafungwa na DRC kuanzia dkk ya 60 onwards. Huo ni muda ambao fitness, umakini, kukaba, kukimbia, stamina morali na nishati ya wachezaji wa taifa stars vinakuwa vimekwisha kabisa, timu inakuwa mdebwedo, tia maji tia maji mashabiki tunaomba mpira uishe, roho mkononi, kocha Morocco fundi sana ushauri wangu, wiki mbili nzima kabla ya ya Afcon peleka Coco beach vijana wako wakakimbie kwenye mchanga masaa matatu daily maana boli wanajua tatizo lao ni pumzi ya chips mayai na shisha!

All the best wananchi leo
 
Leo utopolo wanashinda kunamchezi wa namungo atasababisha penanati na refa wa leo ni mwanayanga lia lia leo kekele zao zinarudi
 
Ila leo nawaombea angalau wapate sare, wakishinda hawa takataka wana kelele sana
 
Tunaitakia heri na ushindi team yetu ya Nyumbani southern killers
Ushindi uwe faraja kwa EMD nyangao
 
Watakachofanyiwa watesi wa Yanga leo
 

Attachments

  • Screenshot_20241106_160101_Instagram.jpg
    Screenshot_20241106_160101_Instagram.jpg
    45.2 KB · Views: 2
Leo utopolo wanashinda kunamchezi wa namungo atasababisha penanati na refa wa leo ni mwanayanga lia lia leo kekele zao zinarudi

Wewe kweli ni shabiki wa yanga!!

na nikupe moyo refa wa leo ni hersi
 
Watu huwa wanaanzisha uzi wa mechi siku moja kabla ila toka YAS (Yanga Atafungwa Saaaana) ianze rasmi kwa vipigo vitatu mfululizo, leo kumekuwa na kigugumizi katika kuanzisha uzi wakati yamebaki masaa machache mechi ianze.

Vyura mmesusia timu yenu? Tunaomba msijidhuru tu maana vipigo vinaendelea kama kawaida.

Binafsi nadhani mnaenda kufungwa mechi 6 mfululizo ndiyo kuna katimu mtakaotea baada ya hapo.
Uzi huu hapa
Ulizanzishwa saa 4 na dakika 22, na wewe ilipofika saa 4 na dakika 26 ukaandika uwongo wako.
 
Back
Top Bottom