FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Bila makosa ya kibinaduma utopolo hawashindi hii match refa ashatiwa mifukoni wana utopolo ondoe shaka leo mtapata ushindi japo malalamiko baada ya ushindi yatakuepo ila ndio hivo mshashinda kwa kubebwa
Umenikumbusha goli la PAMBA ya Mwanza ilipocheza na mbumbumbu FC..!!
 
Walianza kuhama uwanja, baadae wakahama majukwqa lakini Sasa wamesusa hata kuanzisha Uzi.
Wataibuka walipata goli la kupngoza vinginevyo hawataonekana..
Usijitoe akili, mlihamia uwanja wa Jamuhuri Morogoro, lakini Mbangula hakuwaacha..!!
 
Watu huwa wanaanzisha uzi wa mechi siku moja kabla ila toka YAS (Yanga Atafungwa Saaaana) ianze rasmi kwa vipigo vitatu mfululizo, leo kumekuwa na kigugumizi katika kuanzisha uzi wakati yamebaki masaa machache mechi ianze.

Vyura mmesusia timu yenu? Tunaomba msijidhuru tu maana vipigo vinaendelea kama kawaida.

Binafsi nadhani mnaenda kufungwa mechi 6 mfululizo ndiyo kuna katimu mtakaotea baada ya hapo.
Kina Labani og redio wamechoka na vipigo
 
Back
Top Bottom