FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Timu tunayo na tunatamba nayo. Huwa wanakimbilia kuanzisha madomokaya nyinyi wenyewe. Bora mmeichoka, mmetuachia timu yetu. Tutaanzisha lisaa limoja, kabla ya mechi kuanza au dakika chache kuanza. Huu ndiyo utaratibu.

#yangabingwa
#since1935
🟒🟑🟒🟑
 
Ngoja aje kibaka mmoja atoe ahadi zake za kijinga.
 
Umeandika kwa uchungu sana.Mola awarehemu vyura wote.Aimeeen πŸ™
NB;Hivi,jina utopolo au chura,ni nani hilo jina aliwapatia kiroho safi?Kwa kweli naapa mbele ya Mungu,linawapendeza sana.Alhamdulillah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…