FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Cross ndefu iliyokosa mmaliziaji

Maana yake katika matukio yote ya kipindi cha kwanza ya Namungo kwenye kushambulia. Tukio hili ndio limeonekana kuwa closely na attempt ya kufunga bao.
Ndio kungekua na mmaliziaji lingekua goli lile
 
Atakodishiwa Bajaj sio bodaboda imuwahishe kwao
Boda boda alipewa Gamondi

1732983848845.jpeg


Huyu wanaweza kumpigisha ngoko
 
 
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)
View attachment 3165739

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
View attachment 3165883
Tukutane hapa kwa Updates...

Updates...
18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa .
Umiliki ni 50x50

Dakika 2'
Yanga wanapata kona, anaipiga Aziz K inaokolewa na mabeki wa Namungo FC
0-0

Dakika 5
Yanga wanapata free kick inapigwa haileti shida.

Dakika 10
Kibabage anashindwa kumwaga maji hapa.
Anaingia hadi 18 lakini pasi yake inakuwa Mkaa
Game on.
0-0

Dakika 12
Yanga wanapata kona inapigwa haraka haraka inaishia kwenye mikono ya kipa wa Namungo.
Game On
0-0

Dakika 15
Namungo wanatengeneza shambulizi moja zuri.
Inapigwa inatoka nje, inakuwa off target.
Mchezo unaendelea
0-0

Dakika 17
Yanga wanapata tena kona hapa.
Anaanza Aziz kona fupi, bado haizai matunda.
Ball On
0-0

Dakika 20.
Yanga wanapata kona inapigwa inaokolewa vizuri kabisa na Namungo
0-0

Dakika 22,
Yanga wanafanya shambulizi kali hapa.
Kakolanya anaitoa
0-0

Dakika 28
Yanga wanapata faulo nje kidogo ya 18.
Anaipiga Aziz
Inakuwa kona, imeanza haraka haraka.
Haijazaa matunda
Mpira unaendelea, Yanga wanafanya shambulizi hafifu, Anaokoa kipa wa Namungo
0-0

Dakika 30
Mligo wa Namungo anapata kadi ya Njano baada ya kimchezea rafu Yao Kwasi
0-0

Dakika 33
Namungo wanafanya shambulizi hatari kwenye lango la Yanga, halifanikiwi waapoteza mpira.
Ni nafasi ya wazi kabisa kwa Namungo.
0-0

Dakika 42
Aziziiiiiiii, inagonga mwamba hapa inatoka nje.
Aziz K anakosa nafasi ya wazi hapa.
0-0

Dakika 45.
Nyongeza ni 3.
Game On
0-0
Aisee,
Namungo wanakosa talent hapo mbele sijui wanaiogopa yanga pia namungo Wana butua butua Sanaa mipira..

All in all,
Yanga wanachapika Ila mpaka Sasa sikajua marengo ya kocha wa namungo...kwenye kikosi chake upande wa VIUNGO washambuliaji na straiker hawana yaan ukiwa na mtu Kama Messi, robinho, gaucho, RAPHINA sasaivi yanga wangekua wanasaga meno.

Natamani kuona yanga wakipoteza tenaaa.
 
Back
Top Bottom