FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

vibertz na Tate Mkuu hawa ndio wana majibu maana waliunga mkono Gamondi kufukuzwa.

Huo mkono mliotumia kuunga hoja mawazo mbovu ya Hersi kumtimua Gamondi ni heri mngeutumia kuungia mboga ona sasa mna aibika.
Katika vitu sikufurahishwa navyo ni pamoja na Gamond kuondoka. Hii habari ya Gamond imewafurahisha wana Simba wengi sana. Mpaka sasa mna nafasi kubwa kutufunga round ya pili kwa haya mawenge tunayopitia sasa hivi.

Makosa makubwa sana tumefanya
 
Back
Top Bottom