Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichogundua namungo ni heri hata timu ya ndondo cupNamungo mnakubalije kufungwa na utopolo?
Note my Points...Mechi yenu na MC Alger ndio itatoa majibu.
Namungo mwenye point 3 kwenye msimamo sio kipimo.
Makosa mengi sana mmeyafanya na Namungo wamekuwa shallow kuweza kuyatumia kunufaika.
Bado Yanga ni ile ile
Kadi nyekunduHivi Bacca kaumia? Maana huko CAF championship..... sijui itakuwaje.
Asante kwa kunikumbusha...Kadi nyekundu
MAlizia hatimae kwa namungoDuh hatimaye .
Sure
Kwa nini hao walezi wake kina Hersi hawakumuonya? Sana sana ndiyo wamemuweka kwenye situation hiyo
Hizi ndo FALLACIES.....
Full loaded au sio😂... anticipation....loaded💯💯
.... Die hard ...loaded 💯 💯
... footwork...loaded 💯 💯💯
....determination..loaded..💯
.... hunger for a win.. 💯
... NIDHAMU..💯💯💯💯
YANGA IMERUDI... HAYA NDO TULIYAKOSA GAME YA WALE WASUDANI...
Tuliumia sana. TUMERUDI.
TUISHI HUMU.
Ndio 😹Ushasahau mara?
Kwani nliondoka 😹umerudi
Huyu wafukuze tuMpumelelo alivyoingia ni kama kaja ku seal fursa zote za magoli