FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

VAR iwe introduced ASAP, hii league itaharibika kwa mambo ya ajab
 
Refa ndio kazi yake lazima washindeeeeee

Pata Pata Pata Utajiri

Kama utani wa Jadi ni mzuri ngoja nikutanie "wewe ni mvamizi wa viwanja"😂😂😂

Watoto wa kishua naomba kazi ya "Uhouse BOY"
 
Wakulaumiwa ni Mwigulu Nchemba na Karia kwa huu upumbavu unao endelea.
 
HT’

Namungo, Utopolo & Singida BS 0-1 Simba
IMG_5344.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom