Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hadi nimecheka eti beki wetu. Lol.Beki wenu kaleta matusi kwenye boli, kalamba umeme milio imekuwa mingiView attachment 3242043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi nimecheka eti beki wetu. Lol.Beki wenu kaleta matusi kwenye boli, kalamba umeme milio imekuwa mingiView attachment 3242043
Tatizo watu tunalaumu tu. Wengi walitarajia kuona labda mchezaji kafanya faulo ya kuonekana na kila mtu hadi walio nje ya uwanja , wanasahau kuwa mchezaji anaweza kutoa lugha ya matusi ambayo walioko nje au mbali na eneo la tukio sio rahisi kusikia hiyo lugha ya matusi.Nadhani mchezaji aliongea shit.
Kupewa red card sio kitu cha kawaida tena straight red card
Hahahaa. LolUkitaka kuangalia hizimechi utakosa nguvu za kiume muwe makini
Ushoga mbaya kama "uvamizi wa viwanja"Acha ushoga wewe au unatafuta mume?
😀😃Huyu na yule wa kushika kadi mikono miwili hawaombani chumvi. 😂😂😂
Ushoga mbaya kama "Kulawitiwa" au unamtafuta mkatili😂😂😂😂Acha ushoga wewe au unatafuta mume?
Kamera za Azam zimetafuta sababu ya kadi nyekundu wamekosa, wasaidizi wa refa wametafuta kosa wamekosa, mashabiki wenyewe hawajui kilichotokea. Yaani hata VAR ikipewa mwaka mzima kutafuta kosa bado itashindwa. 😂😂😃😀Halafu mnasema Coastal ni tawi la Simba. Hamjui hata mshike lipi.
Chizi MaarifaRed ya nini pale
Uhuni hauruhusiwi katika michezo. Ateba alireact kabla hata refa hajatoa kadi na baada ya kadi aliendelea kumuonyesha kidole aliyepewa kadi. Mengine unaweza kujiongeza mwenyewe hakuna haja ya kubishana.Kamera za Azam zimetafuta sababu ya kadi nyekundu wamekosa, wasaidizi wa refa wametafuta kosa wamekosa, mashabiki wenyewe hawajui kilichotokea. Yaani hata VAR ikipewa mwaka mzima kutafuta kosa bado itashindwa. 😂😂😃😀
Sijui kwanini hawajasusa tupate point 3.Wapenda michezo mtakao angalia kipindi cha pili huu upuuzi mna moyo. Huyu mwamuzi ana bahati wachezaji wa Namungo ni wapole. Huyu ni wa kung'oa meno kabisa.
Juma nyosoo karudi amaUhuni hauruhusiwi katika michezo. Ateba alireact kabla hata refa hajatoa kadi na baada ya kadi aliendelea kumuonyesha kidole aliyepewa kadi
Mengine unaweza kujiongeza mwenyewe.