Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VAR ingekuwepo wachezaji wa Namungo 9 wangekua wameshalamba kadi za njano hadi sasaVAR iwe introduced ASAP, hii league itaharibika kwa mambo ya ajab
Kutoa lugha ya matusi siyo kwa refa tu hata ukimtumkana mchezaji mwenzako refa akaskia ni straight red cardWakati mwingine unasoma comments mpaka unafikiri kuna machizi wanaadika humu. Refa katukanwa unataka afanye nini kama sio kadi. Mchezaji kashikwa mkono mpaka kaangushwa unataka refa afanyaje. Ficheni upuuzi wenu
Itakuwa ni hivyo au kamfanyia Arteba kitendo kibaya cha kutweza utu!Nadhani mchezaji aliongea shit.
Kupewa red card sio kitu cha kawaida tena straight red card
Moderator Active huyu jamaa anaharibu mijadala kwa kurudia comment moja mara nyingi na analeta matangazo ya kitapeli apigwe life banPata Pata Pata Utajiri
Kama utani wa Jadi ni mzuri ngoja nikutanie "wewe ni mvamizi wa viwanja"😂😂😂
Watoto wa kishua naomba kazi ya "Uhouse BOY"
Mtaa wa "imsi=640021177148086&uid=2dc0f0cd0dcd98ea00ea2efe528ad43d&t=2&tl=ki2ni" unakutangazia
Fully varnished and finished Apartment kwa TSH 30,000 kwa mwezi
Piga namba hii upate hudumaView attachment 3242051
Kaachiwa walimkaba koo kidogo...Saa ngapi tena naye alikuwepo dakika chache!
Wapenda michezo mtakao angalia kipindi cha pili huu upuuzi mna moyo. Huyu mwamuzi ana bahati wachezaji wa Namungo ni wapole. Huyu ni wa kung'oa meno kabisa.