Heavy Heritage
Senior Member
- Feb 18, 2025
- 130
- 80
Hatari hii penalty kwanza ilipaswa kurudiwa ula kwa kuwa alisha wabeba amepetaRefa hapa hatakiwi kulaumiwa kabisa, muamala wenu ameutendea kazi.
Hawa ndio marefa wetu,,Ile red card sijaielewa kabisa,,wachambuzi wetu kina Willsoni oruma na jemedari saidi waliotoa mapovu juzi tunawasubilia kesho watuambie Ile red imetokaje?
Leo nacheka sana πππYa tatuuuuu. πππ
Wapewe ata penalty 10PENATI 3 WANETU π π