FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

24'
Namungo wanajaribu kufanya shambulizi lakini linazimwa na golikipa Ally Salim
 
"ntu" na "ntuake" wanakipiga huko
Hakuna la ajabu ushindi lazima upatikane hata kwa maagizo ya waziri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
27'

Mpira wa adhabu kuelekea Namungo

Saido amechezewa faulo na Hasaan Kibailo
 
Ni mpira uliopigwa na Saido Ntibazokiza kwenye freekick na Baleke kafunga kwa header
 
Simba na MARUMO gallants ni ndugu
Kila la kheri simba
BAHLABANE BA NTWA🔥🔥🔥🇿🇦🇿🇦🇹🇿🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…