Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Ally Salum kakosa umakini kiais, Sakho kapigwa kwata tumenyimwa penalti ila all in all refa wa leo mzuri sana sio kwa kutunyima penalti ila kwa umbo na bashasha na mikimbio yake kwa nyuma halafu mrefu.