BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Namungo piga hao makoloboi wafa kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kufa kiume tu😁Kuliko kufa kike bora Simba inakufa kiume...
Hii ni sifa kubwaa
Ila mbona Namungo weng wazawaKuna watu watasema wazawa wanabaniwa.
Mimi Simba ila huu mchezo haufanani na timu iliyotoka Champions. Wanafanya makosa meeeengi, hakuna marking hakuna chochote cha maana wanachocheza.Hii ndo simba ambayo haijaroga
Msiwasingizie wazawa timu zima halieleweki sera yake ya usajili. Mfano ni wachezaji wangapi wa kimataifa waliosajiliwa dirisha kubwa wana qualities za 1st eleven?Wale wa nusu fainali baada ya miaka 20 wameibuka...
Wachwambuzi
Ila hawa wazawa mhhhh kumbe ndo maana hawapangwi
Kufa kike ndo kupoje!?Kuliko kufa kike bora Simba inakufa kiume...
Hii ni sifa kubwaa
😅😅😅 Waache hebu Mkuu. Teh tehNamungo piga hao makoloboi wafa kiume
Leta Updates basi na wewe mdogo wangu.Saa moja kamili jioni.
You have nothing left to fight for....Mimi Simba ila huu mchezo haufanani na timu iliyotoka Champions. Wanafanya makosa meeeengi, hakuna marking hakuna chochote cha maana wanachocheza.