Mtu_ bakize
Senior Member
- Jul 8, 2018
- 157
- 214
Namungo km mnadaiwa hiv dahh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoSisi tupo hapa tunasubri dakika tano mpira uishe
Usiongee maneno hayo.. unamjua mnyama?Refa maliza mpira wafe kiume
Hahahaaa! Kuwa na huruma bana Mkuu.🤣🤣🤣Refa maliza mpira wafe kiume
Yap.. bora Simba imekufa kiume mwaka huu, aibu ilikuwa Uto iliyokufa kike kwenye Ligi ya Mabingwa November mwaka janaEndeleeni kufa kiume tu😁
Ngapi hukoKuangalia papatu papatu ya wanaokufa kiume ni kupoteza muda
Acha umbea na upunguze uchawaWew ni mod? Kama jibu ni ndio unatakiwa ujipige ban mnashindwa na Mambo madogo madogo
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Simba wote wapo vizuri, ukienda kule jangwani hahahaaa utamkuta mzee Manara na kikwete pekee wenye mbongo. Hao wengi sasa bugati alimaliza kila kitu, mwache mdada ashabikie team ya wenye akiliMdada mzuri halafu unashabikia simba
Yani kiufupi hawana furahaWametepeta tepe tepe wako kimya?
Wafa kiume wametoa draw kiumeNgapi huko
😂😂😂 wafa kiumeHahahaaa! Kuwa na huruma bana Mkuu.🤣🤣🤣
Bao letu lipo kwetu Wafa Kiume. Teh.
🤣🤣🤣#GuvuMoya