FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

Nilitaka kusema Hawa jamaa wanasawazisha muda si mrefu kwasababu Onyango na Refa. Thou kwa ujumla hii beki ni ya kipuuzi sana.
 
Dogo hatujui, Sifa zimemuingia kaamua kuingia kwenye payroll za watu. Simba siyo timu ya kipa kufanya makosa ya kipuuzi kama haya
Ni uzembe wa hali ya juu sana anaufanya,the same alifanya ile game ya marudiano na Wydad..
 
Beki inageuzwa kipuuzi namna hii. Makocha wasipokuwa makini Simba analala leo maana refa ana penalty kwa Namungo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…