Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Unbeaten kumbe ilikua inakuuma π,historia imewekwa na tulijua tu ipo siku tutafungwa na hatimaye siku yenyewe imekua leo,that its football,lina matokeo matatuMechi ijayo ikifika dakika ya 49 wote tutasimama kympigia makofi nabi kusheherekea anniversary ya zile unbeaten
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unamnyima mtu mzima mwenzio unakuja kumpa dogo?
Leo hii madam ndo mnayajua hayo... af rais leo alikua na surprise sijui itakuajee!!?Si mbaya mpira siku zote, una matokeo matatu. Kufunga, kufungwa na kutoka sare.
Mpira pia hautabiriki, kama sasa kwenye WC. Tumeyapokea matokeo π€¨
Kumbe mwiko ukichomolewa mnakuwa na busara eeh?Kocha alipanga kikosi dhaifu sana kipindi cha kwanza. Wachezaji walikuwa wanacheza kama wako mazoezini.
Kiukweli wamestahili kabisa kufungwa.
Nakuona Nakuona[emoji28]Naam ndugu mjumbe.
Ndio maana zile jezi nyeusi wanazipenda sana itakuwa zina uchawi wao
Upo beshtyNakuona Nakuona[emoji28]
Acha tu Dj Khalid ukisikia taulo kukuvuka ukweni, ndiyo leo kwetu Yanga π€£π€£π€£π€£π€£Leo hii madam ndo mnayajua hayo... af rais leo alikua na surprise sijuu itakuajee!!?
Nipo Beshti ake..Upo beshty
Mnoo besty ahhahahahhaYaaani.....Huu mpira natamani ningeuangalia Wallah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwetu ni raha ajabu
Hakunaga makasiriko huku japo tulikua wa3 kwenye msimamaoNipo Beshti ake..
Kwetu ni furaha tele[emoji445]
Kawa mpole kama uji wa msibaniIngekuwa enzi zile za unbeaten usingeandika hivi.
Ungesema hakuna wakuifunga Yanga Tz hii[emoji23].
Nami nakuchabo nakuchaboNakuona Nakuona[emoji28]
Naaaaam...Hakunaga makasiriko huku japo tulikua wa3 kwenye msimamao