FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Mechi ijayo ikifika dakika ya 49 wote tutasimama kympigia makofi nabi kusheherekea anniversary ya zile unbeaten
Unbeaten kumbe ilikua inakuuma 😀,historia imewekwa na tulijua tu ipo siku tutafungwa na hatimaye siku yenyewe imekua leo,that its football,lina matokeo matatu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utooooooooo
 
Nautafuta uzi wa legend GENTAMYCINE asubuhi amenicheka nakusema mayere atafunga goli 9...mkuu nitag kwenye ule uzi wako nije tuzungumze...

PRIDE OF MBARALI
 
Muhindi baada ya mechi ya Yanga
07768CFE-C38B-4367-BA27-6337244EA78F.jpeg
 
Back
Top Bottom