Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Unbeaten kumbe ilikua inakuuma 😀,historia imewekwa na tulijua tu ipo siku tutafungwa na hatimaye siku yenyewe imekua leo,that its football,lina matokeo matatuMechi ijayo ikifika dakika ya 49 wote tutasimama kympigia makofi nabi kusheherekea anniversary ya zile unbeaten