FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Wale wanaolalamikia jezi nyeusi wapo humu?

Tunaendelezea tulipoishia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko poaaaaa? Lete maneno.
 
Imefikia hatua kuna watu wakiona nyuzi za Yanga wanaziogopa kama ukoma. 😀😀

Kila la kheri Timu ya Wananchi.

"DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mtani leta manenooooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nicheke cha mwisho nilale zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Mzee wa miatircle wewe endelea tu kuwa mwl wa primary mpira umekupitia mbali sana unafosi tu,hamna shabiki asieumia na matokeo mabaya ya uwanjani ya timu yake ila inategemea na uelewa wa huyo mtu pia,muelewa football anaelewa matokeo 3 ya huu mchezo then maisha yanaendelea,binafsi nilijua iko siku tutafungwa na aitokua mwisho tutafungwa na kufungwa tena maana mpira ndivyo ulivyo sasa wewe umejikita hapa na kumquote kila mtu kisa Yanga kafungwa as ndio mara ya kwanza vile kufungwa,it seems ulikua na kiu ya kuona Yanga ikifungwa na leo utolala kwa furaha
 
Ukifungwa wewe ndio unaelewa kuwa mpira una matokeo matatu?

Ikifungwa Simba, inakuwa Simba mbovu, Kanoute sio Central defender mzuri, Simba hamna viwango ni kelele tu, Mgunda sio kocha

Halafu wewe ukifungwa ionekane bahati mbaya, unataka upate treatment za kipekee ubembelezwe sio?

Kusema nilikuwa na kiu kuiona Yanga inafungwa Yes ni kweli nakubaliana na wewe. Napenda sana kuona nyinyi mnafanya hovyo kama ambavyo nyinyi mmekuwa miki wish dhidi yetu

Mayele ni striker mkali anapiga hatrick, yuko wapi leo kwani hakucheza?

Tuisila ameanza kurejea kwenye form yake. Fomu gani? Ya nida au?

Aucho ni bonge la Defense midfield, ndio kwanza Nabi akaona huyu ni moja ya sababu ya kufanya tufungwe ikabidi amtoe akachome mahindi.

Na bado mmepewa na bao la offside vinginevyo mlikuwa mnakufa 2 mtungi
 
Afu sikucheki vizuri, kumbe huyo kwenye Avatar yako ni Nabi?

Eldin professor Nasredin Nab

Naskia mapepe yalimzidi naye alichapwa yellow

Ni kocha mzuri ila ngoja naye a experience maumivu ya kufungwa kwenye ligi ya ndani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waelezeeeeeeeee
 
mzabzab wee mtu njoo huku, qumamaqe.

Leo mmekojolewa nyieeee, pumbaaavu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mzabzab wee mtu njoo huku, qumamaqe.

Leo mmekojolewa nyieeee, pumbaaavu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kivipi tena jamani mie sio ganga wala simba mie mpenzi wa mpira bwa a....ilikuwaje tena unbeaten ikavunjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…