Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Mpira sijabahatika leo kuangalia lakini mechi iliyopita Yanga walikataliwa goli halali kabisa na kuambiwa kuwa ni offside. Tufikie wakati tukubali tu kuwa Tanzania haina wamuzi makini kama kweli leo Yanga imepata goli ambalo ni la offside.. maana kubebwa habebwi Yanga pekee bali kila timu ikiwepo Simba wamenufaika kwa maamuzi mabovu ya waamuzi.
Sent from
Unamaana mpaka sasa angekuwa ashakula 3 eeeIhefu wananyimwa penati ya wazi kabisaa pale
Hivi wewe sio uto?Ngapi Huko?
Engineer Soma Wewe
Nasikia wanawagaraza kwenye mashamba ya mpunga huko et!Mayele Tupe Raha Leo Na Kesho, Ihefu Iache Kutumika
Leo mnato unatolewaSubiri basi ufanye sherehe baada ya mechi 🥱
na walivyo wanaweza kuongeza dakika kama kombe la dunia.....Na Leo waongeze tena hizo dk zao za mchongo
Daima mbele nyuma mwikoLeo mnato unatolewa
Bado moya tumalize kazi!Subiri basi ufanye sherehe baada ya mechi 🥱
Hivi Unaweza Kusimama Ukasema Ni Utopolo Team Ya UjanjaujanjaHivi wewe sio uto?
Usiwe na Papara kama ndege kiparara subiri dk.90Ihefu tupigieni hao,sisi wanatulogaga sanq
Team Ya Mipango Miji Ya UjanjaujanjaHivi leo hawajavaa zile jezi zao nyeusi