FT: NBC Premier League | Young Africans 5-0 JKT Tanzania | Azam Complex Stadium, Chamazi | 29/08/2023

Mechi ijayo Yanga anacheza na nani?
Kwa hali hii, kwa sasa hata hatuhitaji sana kujua Yanga atacheza na nani mechi ijayo maana kila anayetia pua yake anapokea kichapo cha motooo.

Sisi tunapaswa kujua tu, Yanga atacheza lini na Simba, hapo ndio tumaini pekee wanaSimba tulilobakia nalo la kuiona Yanga ikipotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…