FT | NBC: Simba Sc 6-1 Polisi Tanzania | Azam Complex 06/06/2023

Raha ya kuishi bongo

Habari ya mjini saizi sio medali na kuitwa ikulu kulishwa ubwabwa.

Habari ya mjini ni Saido kupiga goli 5 kwenye mechi moja na akiwa na deni la goli moja kutoka kwa mpinzani wake.
Hauwezi kua serious!

Magoli ya Saidi na medali zetu ni dizaini ya ushuzi na marashi!
 
Yaani hauwezi kuamini, sikuwa namfikiria Chama kabisa leo hadi ulivyomtaja
 
magoli ya tigopesa! wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
Na haupati huo.. Mayele mechi ijayo naye anakuja kufanya ntiba
Hatitaki kuachiwa. Tutaipambania wenyewe.
Na hampati huo ufungaji Bora... Niko nimekaa pale
 
Kwahiyo msimu huu wanaLunyasi lengo letu ni ufungaji bora? Tutembee kifua "mbere"
 
Na haupati huo.. Mayele mechi ijayo naye anakuja kufanya ntibanyongo
Mayele anacheza na Prison ni mechi ambayo haiwezi kuwa rahisi hivyo nafasi ya yeye kufunga ni ndogo kuliko Saido ambaye anacheza na Coastal tena tukiwa nyumbani
 
Tunachohitaji ni kutokuwa na mfugaji bora anayeitwa Mayele hapa Tanzania asiwe mfugaji bora kwao aje kuwa hapa!!?
 
Raha ya kuishi bongo

Habari ya mjini saizi sio medali na kuitwa ikulu kulishwa ubwabwa.

Habari ya mjini ni Saido kupiga goli 5 kwenye mechi moja na akiwa na deni la goli moja kutoka kwa mpinzani wake.
Nasemaje!!! wakifanya paredi lao.
Na sisi tunafanya letu.
Sababu tunayo.
 
[emoji81][emoji81]makolo bhana .saivi ubingwa wetu anao said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…