samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Simba waachiwe ufungaji bora jamanUto tafadhalini msimchezeshe Mayele mechi na Prison. Watamvunja mguu akose fainali ya ASFC.
Shauri yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba waachiwe ufungaji bora jamanUto tafadhalini msimchezeshe Mayele mechi na Prison. Watamvunja mguu akose fainali ya ASFC.
Shauri yenu
Hauwezi kua serious!Raha ya kuishi bongo
Habari ya mjini saizi sio medali na kuitwa ikulu kulishwa ubwabwa.
Habari ya mjini ni Saido kupiga goli 5 kwenye mechi moja na akiwa na deni la goli moja kutoka kwa mpinzani wake.
Yaani hauwezi kuamini, sikuwa namfikiria Chama kabisa leo hadi ulivyomtajaNimependa tu wachezaji walivyokuwa wanampa ushirikiano Saido.
Ile header ya Kibu baada ya kuzuiliwa mpira ukatua karibu na miguu yake halafu nyavu hizi hapa.
Alichokifanya ni kumzuia beki asije kuutoa mpira na kumpisha Saido apachike goli.
Bocco naye nilimuona mara nyingi akiwa anafanya hivyo sometimes alikuwa yuko mbele ya box halafu Saido yupo nyuma.
Bocco alikuwa ana hold mpira kumfanya Saidi asogee ili ampe pasi aweze kufunga.
Hii ni bonge ya team work na leo angekuwepo Chama mpishi wa assist, Saido angetoka na goli 8 watu wangesema Simba imenunua mechi.
Ni wewe tuu mwehu wengine tuko sawa kabisaTunajifariji tu ila huu msimu tumeonekana wehu tu
Hatitaki kuachiwa. Tutaipambania wenyewe.Simba waachiwe ufungaji bora jaman
magoli ya tigopesa! wanajitekenya na kucheka wenyeweNimependa tu wachezaji walivyokuwa wanampa ushirikiano Saido.
Ile header ya Kibu baada ya kuzuiliwa mpira ukatua karibu na miguu yake halafu nyavu hizi hapa.
Alichokifanya ni kumzuia beki asije kuutoa mpira na kumpisha Saido apachike goli.
Bocco naye nilimuona mara nyingi akiwa anafanya hivyo sometimes alikuwa yuko mbele ya box halafu Saido yupo nyuma.
Bocco alikuwa ana hold mpira kumfanya Saidi asogee ili ampe pasi aweze kufunga.
Hii ni bonge ya team work na leo angekuwepo Chama mpishi wa assist, Saido angetoka na goli 8 watu wangesema Simba imenunua mechi.
Na haupati huo.. Mayele mechi ijayo naye anakuja kufanya ntibaNimependa tu wachezaji walivyokuwa wanampa ushirikiano Saido.
Ile header ya Kibu baada ya kuzuiliwa mpira ukatua karibu na miguu yake halafu nyavu hizi hapa.
Alichokifanya ni kumzuia beki asije kuutoa mpira na kumpisha Saido apachike goli.
Bocco naye nilimuona mara nyingi akiwa anafanya hivyo sometimes alikuwa yuko mbele ya box halafu Saido yupo nyuma.
Bocco alikuwa ana hold mpira kumfanya Saidi asogee ili ampe pasi aweze kufunga.
Hii ni bonge ya team work na leo angekuwepo Chama, Saido angetoka na goli 8.
Na hampati huo ufungaji Bora... Niko nimekaa paleHatitaki kuachiwa. Tutaipambania wenyewe.
Hata makolo watachukua medal Tena local bila Kombe Ligi ya NBC!Sawa sawa Medali FC
Kwahiyo msimu huu wanaLunyasi lengo letu ni ufungaji bora? Tutembee kifua "mbere"Nimependa tu wachezaji walivyokuwa wanampa ushirikiano Saido.
Ile header ya Kibu baada ya kuzuiliwa mpira ukatua karibu na miguu yake halafu nyavu hizi hapa.
Alichokifanya ni kumzuia beki asije kuutoa mpira na kumpisha Saido apachike goli.
Bocco naye nilimuona mara nyingi akiwa anafanya hivyo sometimes alikuwa yuko mbele ya box halafu Saido yupo nyuma.
Bocco alikuwa ana hold mpira kumfanya Saidi asogee ili ampe pasi aweze kufunga.
Hii ni bonge ya team work na leo angekuwepo Chama mpishi wa assist, Saido angetoka na goli 8 watu wangesema Simba imenunua mechi.
Rekodi ya Simba msimu huu siyo mbaya kama mlivyoaminishwa.Tunajifariji tu ila huu msimu tumeonekana wehu tu
Mimi nakuelewa. Huwezi kushabikia makolo alafu ukajua medali ni nini. Hauwezi.Medali ndio nini wewe?
Bado tu hamjifunzi?
Nasemaje!!! wakifanya paredi lao.Raha ya kuishi bongo