FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

chama alimkanyaga faisal, inonga kwa sure boy, achana na wawa kwa nchimbi ambazo ni makusudi hata yellow haikutolewa

ila hii faulo ya bahati mbaya unakimbilia red upuuzi mtupu
Na humu hum JF utalambwa red card ili uache upopoma
 
Matopolo yanatafuta kupata pa kupumulia kwa penalty yao ya mchongo. Goli limefungwa b4 red card mnakingine?
Hakuna anayesema goli ni matokeo ya red

tunasema red haikuwa ya halali, tunasema pia red inaweza kuwa sababu ya mtibwa kutorudisha goli kwa maana wako pungufu
 
Hakuna anayesema goli ni matokeo ya red

tunasema red haikuwa ya halali, tunasema pia red inaweza kuwa sababu ya mtibwa kutorudisha goli kwa maana wako pungufu
Nasikia Simba ilishamfunga Yanga pindi ikiwa pungufu. Hivyo usijali watafunga tuu si unatamani wafunge?
 
chama alimkanyaga faisal, inonga kwa sure boy, achana na wawa kwa nchimbi ambazo ni makusudi hata yellow haikutolewa

ila hii faulo ya bahati mbaya unakimbilia red upuuzi mtupu
Umesahau na ya juzi ya john Bocco aliyomfanyia Amoah wa Azam
 
Dakika 45' za kipindi cha pili mpira umeanza tayari
 
HII YA SAKO NI RED CARD KABSA BILA KUPEPESA MACHO LAKINI KWA KUA GSM AMETOA BAHASHA BASI TUENDELEE TU
 
hakuna red pale mkuu, refa uwezo wake ni mdg na mechi imemshinda
Hapana.. nimeangalia replay vizuri nimeona kweli Sakho alicheza mchezo usio wa kiungwana

Ila kwa adhabu ya Red Card bado nashindwa kuamua
 
Back
Top Bottom