Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo.
Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama Skudu, Konkon huku Azam ikiwa na nyota wapya machachali weka mbali na watoto Feisal, Bangala.
Ikumbukwe kwamba mara ya mwisho walipokutana kwenye kombe la FA, Yanga alipata ushindi.
Je, Azam wana lambalamba atalipiza kisasi au Yanga ataendeleza ubabe? Tutakuwa hapa kupeana taarifa.
Mchezo utaanza saa moja kamili jioni.
Kikosi cha Yanga kilichoanza leo:
Kikosi cha Azam kilichoanza leo
- Mpira umeanza
- Dk7 Skudu anaumia, nafasi yake imechukuliwa na Ngushi
- Dk 40 bado milango migumu wa timu zote
HT: 0 - 0