OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mpira saa ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Radi haipigi mara mbili; ile bahati aliyokuwa nayo Sopu ya kumfunga Diarra imeshawekwa kibindoni. Fei Toto tayari ana laana atacheza akiwa na fundo moyoni la kula ugali kwa sukari, na hivyo kushindwa kupata matokeo yoyote. Dube bado sana mbele ya Yanga.Msisahau leo Sopu ana goli lake moja
Fei Toto goli moja
Dube goli moja
Labda ukawape wewe.Msisahau leo Sopu ana goli lake moja
Fei Toto goli moja
Dube goli moja
Unadhani kila wanapokutana na Yanga hawatamani kushinda? Shida uwezo
Vipi; Azam watasubir mashindano yote yaishe ndipo warudi Dar au wataondoka mara moja baada ya kupewa barua ya Thank You kutoka Yanga?
Kikosi cha YangaView attachment 2712798
Hapa kuna kitu sielewi, max,skudu na Farid wanacheza wapi? Au Kuna mmoja atacheza nyuma ya striker??? Aucho na mudathir peke yake naona midfield Itakua nyepesiKikosi cha YangaView attachment 2712798
Kiungo cha mudathir na aucho kinakuwaga laini ngoja tuone leo. Max au farid mmoja anaweza kucheza namba 10Hapa kuna kitu sielewi, max,skudu na Farid wanacheza wapi? Au Kuna mmoja atacheza nyuma ya striker??? Aucho na mudathir peke yake naona midfield Itakua nyepesi